Maisha

Kutana naye Miller anaetengeza hela ndefu kwa kuishi maisha ya kitoto

Ukistajabu ya Musa utayaona ya firauni. Miller ambaye ni mkaazi wa marekani amegonga vichwa vya habari kwa kuishi maisha tofauti na binadamu wenzake.

 

Miller huishi Kama mtoto Kama vile kucheza na midoli na vinginevyo. Inasemekana kila mwezi maisha yake hugharimu zaidi ya laki mbili hamsini anazotumia kwa kununua midoli.

Miller hupenda maisha yake maana kupitia anachokifanya, hupata mkate wake wa kila siku. Kulingana na yeye hayuko peke yake kwa hicho chama. Alifanya uchunguzi na kupata habari kuwa wako wenzake waonaishi maisha hayo.

Hatuna la ziada Ila kumtakia maisha mema maana tukihimiza asifanye anachokipenda Basi itabidi tumlishe sisi no itakuwa vigumu.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *