Maisha

Kutana naye mtoto wa Caroline Mutoko

Caroline Mutoko Anajulikana Kenya nzima. Ni mtangazaji maarufu sana. Wengi wamefikia mahali walipo kwa kuiga mienendo yake.

Caroline Mutoko amefanya mengi na wengi wanamjua haogopi na anaweza sema lolote bila uoga. Miaka tisa iliyopita, Mutoko alifanya Jambo ambalo liliwashangaza wengi.

Caroline Mutoko age

Aliamua kuanzisha familia baada kuchukua jukumu la mchukua Theodora Nduku kwa kuamua kumlea kama mwanawe. Kwa sasa Theodora Nduku tayari ana mtoto. Kwa miaka mingi, Caroline Mutoko amekuwa akiwaficha Theodora Nduku na mtoto wake sanasana kwenye vyombo vya habari. Kwa sasa ameamua kuonyesha mtoto

Caroline Mutoko age

Caroline Mutoko amemuonyesha hadharani mrembo wa miaka tisa kwa Instagram page yake na pia ku rekodi video na yeye. Mafans wake walionekana kufurahia alichokifanya ikizingatiwa aliamua kulea familia ambayo sio yake na kusimamia mahitaji yao yote.

Caroline Mutoko daughter school

Ukitazama hiyo video, utaona vile wawili hawa wanaonekana kuwa na furaha na wanakaa Wana ukaribu wa hali ya juu. Ni kweli wanafurahia maisha na ni marafiki wakubwa.

Soma hii pia (  umri wa Zari hassan wazua gumzo)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *