Youtube videosMziki

Lava Lava – Inatosha Official Video

Baada ya kuachia nyimbo siku kadhaa zilizopita, Lava Lava – Inatosha Official Video imeachika Leo. Lavalava amejitahidi sana katika hii Kazi yake mpya na nadhani WCB wamefanya kazi kubwa sana.

Inatosha video imefanyika kama vile live performance na mavazi yaliochaguliwa yanaendana sawa na nyimbo yenyewe.

Ili kuweza kuitazama video ya Lava Lava – Inatosha, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *