Mziki

Lift my hands by size 8

Lift my hands by size 8 Ni nyimbo ambayo naweza sema ni Kati ya zile nyimbo za injili zilizopotezwa na kizazi kipya Cha mziki wa injili. Kwa mda sasa mziki wa injili umegeuzwa na kuwa mziki wa klabu.

Tumeona hata wengi wamejitoa kwa mziki wa gospel wakidai kutoelewewana na walioko. Wasanii hawa ni Kama willy Paul na bahati. Kwa Sasa wawili hawa wameamua kufanya mziki wa kidunia.

Soma hii pia ( willy Paul aeleza kikichomfanya kuachana na mziki wa injili)

Lift my hands by size 8 Ni nyimbo mpya inayofanya vizuri kwa mitandao. Kama ulikuwa umetamani kuskiza mziki wa injili kwa mda, Basi hii nyimbo mpya ya size 8 itakuwa faida kwako.

Tazama Lift my hands by size 8 nyimbo mpya kwa kubonyeza link ifuatayo

 

 

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *