Mziki

Lody Music – Naenjoy

Lody Music – Naenjoy ndio mpango mzima na inaonekana lord music ameamua kuachia kazi za kufuatana. Ni hivi majuzi tu msanii huyu aliachia kazi yake inayojulikana kama Kubali iliyofanya vizuri sana kwenye soko la mziki.

Naenjoy ni nyimbo yake nyengine itakayozidisha umarufu wa msanii huyu kwani tayari ishaanza ku trend hapa na pale ambapo radio nyingi nchini Tanzania zinacheza nyimbo hii kwa sana.

Lord music amebarikiwa na sauti nzuri na pia  ana uwezo mkubwa sana wa kuandika nyimbo. Ili kusikiza wimbo wa Lody Music РNaenjoy, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *