Sanaa

Lulu Hassan awapa wenzake Jeff koinange na Victoria Rubadiri mtihani. Tazama video

Baada ya kusoma taarifa za matokeo mbalimbali, Lulu aliwaalika wafanyikazi wenza, Jeff na Rubadiri ili kujaribu Kama wanaweza kuongea kishwahili kwa ufasaha.

Iliwatatiza sana kwani hao wawili hawana uzoefu wa lugha ya kishwahili Ila Lulu alizidi kuwapa motisha lakini walilemewa hivohivo.

Lulu aliirusha hiyo video kwenye mtandao na kuwapa watu nafasi kutoa maoni kuhusu hao wawili. Kwa wengi ilikuwa ni kicheko maana matamshi yao yalikuwa tofauti. Wengine waliwapongeza na kuwapa morale wakiwahisi wajitahidi zaidi

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *