MzikiYoutube videos

Macvoice ft Mbosso – Only You | Video

Mbosso na macvoice wameachia bonge la kazi. Only You ndio Jina halisi ya hii kazi na kusema kweli ni Kazi kubwa.

Kumbuka macvoice ako chini ya usimamizi wa Rayvanny naye Mbosso ako chini ya wasafi inayoongozwa na diamond platnumz.

Ili kuitazama video ya Macvoice ft Mbosso – Only You bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *