MzikiYoutube videos

Macvoice Ft Rayvanny – Bora Peke Yangu (Official Video)

Macvoice Ft Rayvanny – Bora Peke Yangu ndio habari ya mjini. Kama umekuwa ukifuatilia Sanaa ya bongo utakuwa unamfahamu huyu msanii mpya wa next level music.

Macvoice anaonekana kuzidi kuwa mkali kila siku na huenda akawa msanii mkubwa sana afrika mashariki. Kwa sasa ako kwa mikono salama. Ili kuweza kuitazama video ya Macvoice Ft Rayvanny – Bora Peke Yangu, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *