Youtube videosMziki

Macvoice Ft Rayvanny – Tamu

Macvoice Ft Rayvanny – Tamu ndio habari ya mjini. Baada ya Macvoice kuweka mkataba na Next level music ambayo inamilikiwa na Rayvanny, inaonekana kwamba hapa ni Kazi tu.

Kwa sasa macvoice ameachia nyimbo kadhaa na pia ako na Ep yake inayopatikana kwa music download platforms. Kazi yake mpya na Rayvanny inayojulikana kama Tamu ipo hewani na unaweza kuipata hapa mwangaza news.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *