Youtube videosMziki

Maluma – Mama Tetema ft. Rayvanny

Maluma – Mama Tetema ft. Rayvanny ndio habari ya mjini. Nyimbo hii imegonga vichwa vya habari na kwa sasa Ina trend kila sehemu.

Tetema iliwahi kufanywa na Rayvanny na diamond platnumz. Hii remix imefanya na Maluma ambaye ni msanii anayejulikana dunia nzima.

Ili kuweza kuitazama video ya Maluma – Mama Tetema ft. Rayvanny, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *