AfyaMaisha

Maradhi na madhara wanaopata wapenzi wanaopenda kunyonya sehemu za Siri wakati wa mapenzi

Maradhi na madhara wanaopata wapenzi wanaopenda kunyonya sehemu za Siri wakati wa mapenzi ni mengi sana japo wengi hawana ufahamu. Sio kila Jambo unaloliona kwa mitandao unafaa kuiga kwani wataki mwingine huenda ukajiletea madhara.

Kuna Wanaume wengi sana duniani wanaopenda kufanya ngono zembe ila hawajui Maradhi na madhara wanaopata wapenzi wanaopenda kunyonya sehemu za Siri wakati wa mapenzi. Kuna magonjwa mengi sana hukokana na virusi vya kunyonya sehemu za Siri kupitia midomo.

Kulingana na wanasayansi na jopo la utafiti la madaktari wakubwa wanaotekea nchini marekani, imebainika kwamba vijana wengi haswa wakutokea barani afrika wako na magonjwa chungu mzima yanaoyotokana na ngono zembe. Sio tu kunyonya sehemu za Siri zitakazokuletea maambukizi bali pia sehemu mbalimbali za mwili unapozinyonya.

Wengi wa vijana hawa wameridhi tabia hizi kwa sinema za wamarekani zikiwemo movie za ngono zinazopatikana kwenye mitandao mbalimbali.

Muvi hizi za ngono zimepelekea vijana wengi kuanza kufanya mapenzi kama wanavyofanya waamerika na kuanza kunyonyana ndimi zao, seheme za Siri, makalio, matiti na sehemu zingine za mwili bila kujali kuwa mwili wa binadamu huzalisha wadudu kwa jina bakteria Kila siku. Bakteria huwa hatari wanapotoka kwa binadamu mmoja na kuingia kwa binadamu mwingine.

Pia hairuhusiwi wazazi kuwanyonya ndimi watoto wao. Wengi wa wazazi hupenda kuwanyonya ndimi watoto wao na kuwapiga busu bila kuzingatia usafi wa midomo yao. Mazoea kama haya huenda ikahatarisha maisha ya watoto wao kwani huenda ikaleta maambukizi ya ngozi kwa watoto Hawa.

Watu wengi hawajui kuwa wale wanaoigiza kwenye filamu za ngono hupitia vipimo vingi sana ili kuhakikisha afya yao iko salama na usafi umezingatiwa. Kama mtu ana ugonjwa wenye waweza kuambukiza mwenzake, basi haruhusiwi kuigiza kwenye sinema hizi za ngono. Kwa hivyo Mara nyingine unapofikiria kuiga wamarekani wanaoigiza filamu za ngono ujue sio maisha yao ila wako kazini.

Asanteni sana kwa kufuatilia habari zetu kutoka tovuti yetu ya mwangaza. Usisahau ku share na wenzako ili nao waweze kupata elimu.

Soma hii pia ( jinsi ya kupata mimba kirahisi)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *