Mariana – Christian Bella & CBO Music
Mariana – Christian Bella & CBO Music ndio habari ya mjini. Christian Bella amenyamaza kwa mda ila hii Kazi yake mpya imemueka pahali pazuri.
Sauti ya msanii huyu ni ya kipekee na ndio maana wengi wa wasanii hupenda sana kufanya Kazi na yeye.
Ili kuitazama video ya Mariana – Christian Bella & CBO Music, bonyeza hii link ifuatayo.