Youtube videosMziki

Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Video)

Baada ya kuachia audio ya Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi, video ipo hewani na unaweza ukaitazama hapa. Ni video iliyofanyika kwa ustadi na quality yake ni ya hali ya juu.

Kumbuka kwa saa hii Alikiba yupo juu sana. Hii ni baada ya kuachia album yake inayofanya vizuri sana kwenye soko la mziki. Ili kuweza kuitazama video ya Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi remix, bonyeza hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *