MaishaSanaa

Mbosso asema aliwahi kulia kama mtoto

Mbosso ni msanii katika label ya wasafi. Kabla kujiunga kwake na wasafi, Mbosso alikuwa kwa kikundi kilichojulikana kama Yamoto Band. Safari yake ya mziki imekuwa ngumu ndio maana kila siku anamshukuru Mwenyezi Mungu kwani haikuwa rahisi kwake. Katika Yamoto Band walikuwa na Aslay, beka na wengineo.

Wakati wasanii wako kwenye tamasha Mbalimbali, Mengi hufanyika na wakati mwingine mengi usiyo yategemea huenda yakakufanyikia wakati uko juu ya stage. Miaka miwili iliyopita, Mbosso alipatana na majanga kama haya akiwa juu ja jukwa tayari kuwapa wapenzi wake burudani.

Mbosso na Diamond platnumz

” Mwaka wa 2018 niliwahi dili ya kutumbuiza wanaichi kwenye sherehe iliyokuwa imeandaliwa na wanafilamu. Nilikiuwa nimejipanga vilivyo na nilijua nitaweza kuwafurahisha wapenzi wa maziki wangu kwani nilikuwa nimefanya mazoezi ya kutosha…. Wakati naanza burudani yangu, Vyombo vya mziki vilikataa kabisa kutoa sauti na watu wakaniona kama labda sijielewi.

kwake hiyo siku hajawahi isahau maana alidhania kuwa safari yake ya mziki imefikia kikomo. Usiku huo alijaribu kutafuta usingizi ila haukupatikana maana mawazo yake yote yalikuwa yakifikiria kilichofanyika kwenye sherehe.

Mbosso : video yake mpya

” Nilitusiwa matusi ya kila aina na niliomba arthi ifunguke niingie ili niweze kuficha ile aibu….” Nilijaribu kuimba bila spika ila tatizo ni kuwa watu wanaelewa mziki na huwezi kuwandanganya. Nilitoa sauti yangu yote lakini mambo yakawa yaleyale, wanainchi walitaka kusikia sauti kutoka kwa spika…. Niliomba msamaha kwa mashabiki zangu huku nikiwaeleza kuwa ni bahati mbaya na nikawaahidi kuwa siku zijazo nitakuwa makini…. Jambo kama hili halijawahi kunitokea tena na mashabiki wangu walielewa kuwa ilikuwa ajali na kwa sasa wanakubali kazi zangu

Bonyeza hapa ( Video mpya ya Harmonize)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *