Youtube videosMziki

Video | Mbosso ft Njenje ( Kilimanjaro band) – Tulizana.

Kuachiliwa kwa Video ya Mbosso ft Njenje ( Kilimanjaro band) – Tulizana. Kunaonyesha wazi hapa kwa Mbosso Kazi tu. Kwa siku moja, Mbosso ameachia video mbili.

Siku ya Leo Mbosso aliachia video yake ya your love aliyemshirikisha Liya na kwa sasa kaachia Video | Mbosso ft Njenje ( Kilimanjaro band) – Tulizana.

Video zote mbili zimetayarishwa na Kenny ambaye ni director wa zoom production ilioko ndani ya wasafi. Kuitazama Video | Mbosso ft Njenje ( Kilimanjaro band) – Tulizana. Bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *