Youtube videosMziki

Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Music Video

Baada ya kuachia Audio ya nyimbo ya for your love, Zuchu na Mbosso wameachia video. Hii video ni mojawapo ya kazi kubwa sana kuwahi kuwachiwa kwenye Sanaa ya bongo.

Kumbuka audio tayari ishapenya kila sehemu na imepata usikilizaji mkubwa sana dunia nzima. Mbosso ni muandishi mkubwa sana na kushikana na Zuchu ni bonge moja la idea.

Ili kuitazama Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Music Video, bonyeza hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *