Mziki

Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Audio | Video

Wengi hawakutegemea kwamba Zuchu na Mbosso wangekuja kufanya Kazi pamoja ila vile wote wako WCB chochote chawezekana.

Mbosso ft Zuchu – For Your Love ni Kazi ambayo nimeisikiza na inapendeza sana na vile Ina sehemu nyingi za kizungu, huenda ikapendwa sana katika nchi zenye hazielewi kiswahili ila zinapenda nyimbo za wawili hawa.

Kuitazama video bonyeza hapa ( zuchu X Mbosso video)

Ili kusikiza nyimbo ya Mbosso ft Zuchu – For Your Love, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *