Mr. P – I Love You ft. Teni, Simi, Tamar Braxton
Mr P amekuwa akifanya vizuri kwenye mziki. Ni juzi tu wameelewana na kakake kwani walikuwa na ugomvi kwa mda mrefu sana. Mr. P – I Love You ft. Teni, Simi, Tamar Braxton ndio mpango mzima. Ni kazi iliyofanyika kwa makini zaidi.
Ili kuweza kuitazama hii Kazi ya Mr. P – I Love You ft. Teni, Simi, Tamar Braxton, bonyeza link ifuatayo.