Maisha

Mtu mrefu sana duniani : Sultan kosen

Kuna watu tofauti duniani na kama hujatembea basi ujue umekosa mengi, je wajua kuna Mtu mrefu sana duniani na Mtu mfupi sana duniani. Kulingana na utafiti wetu, Mtu mrefu sana duniani ametokea nchini uturuki na nafahamika kama Sultan kosen. Mara ya mwisho kupimwa urefu, Sultan kosen alipatikana na urefu wa mita 2.51, hiyo ni kama futi nane na inchi tatu

Sultan kosen ako kwa kitabu cha guiness book of record kama mtu mrefu sana duniani na alifahamika mwaka wa 2009 ambapo huo mda alikuwa na urefu wa futi nane na inchi moja. Kulingana na Sultan Kosen, hakutarajia angeweza kuingia hicho kitabu cha sifa na kwake ilikuwa kama ndoto. Mtu mrefu sana duniani : Mtu mrefu sana duniani : Sultan kosen

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *