Maisha

mwanamke kwenye ndoa

mwanamke kwenye ndoa anastahili kuwa makini sana. Wanawake wengi hawajui ni sababu gani inayowafanya mabwana zao watamani wanawake wengine. Ni vizuri mwanamke yeyote aliyeolewa ajue kwamba kuna majukumu ya mwanamke kwenye ndoa.

Baadhi ya wanawake utamkuta akiwa nyumbani utamkuta rafu kero kavaa videra vimechuja hata rangi yake haifahamiki zile nzuri eti kaweka zakutokea

Mpaka imefika pahala watu wamezoea ukiwa umependeza tu utasikia haya safari ya wapi tena kumbe mwenzio unaenda hapo nje kufua hii umejizoezesha kupendeza nimpa uwe unatoka

Mwanamke jipambe kwa ajili ya mumeo

Lakini unamkuta mwanamke tangu kufua asubuhi yale maji yaliodondoka yamechora raman ya asia yeye hana hata habari ndo kwanza kakaa kama mtego eti anamsubiri mume anaingia kwa mitandao anaanza kusifia wanawake wa wenzake. Ni wajibu wa mwanamke kwenye ndoa kuhakikisha kwamba Bwanake hapati sababu ya kutamani wanawake wengine. Hii ni rahisi sana, jipambe kwa ajili ya mumeo.

Binti mdogo miguu imepasuka kwa sababu akiwa nyumbani hata viatu hajui viko pande zipi vumbi linabakterial ukitembea miguu chuma lazima miguu ipasuke hebu vaa viatu hata ukiwa ndani kwako tafuta viatu visafi uwe unavaa ndani tu na paka miguu yako vaselin uone mguu kama hujawa kama mtoto mchanga

Na siyo kuchania shuka na net kila mwezi kubadili net kisa miguu yako ukitoka nje ya nyumba yako jistri ila ukiwa kwako na mumeo ndani hata usipojisstri ni sawa isipokuwa kwa waume zenu

Siyo wanja eti mpaka eti unaenda sokoni ndo unapaka unampakia nani sasa huku sokoni kama sikutafuta dhambi kwa nguvu

Utakuta nyumba yake ipo rafu rafu kitanda rafu nguo zimwageka kila mahali chafu na safi hazijulikane utadhani tomato chini ya sakafu mchanga kibao utadhani ufuweni kumbe chumba cha mwanamke masaa yote yupu barazani umbea

Mwanaume akiona hivo wewe uko rafu nyumbani rafu vitoto rafu anaenda kijiweni ubaki kulalamika mume wangu hakai nyumbani kujiwe vyema atakaaje nyumbani wakati wewe mwenyewe pamoja na mazingira hapamshawishi

Vitoto vichafu umeviachia tu mikojo halafu utasikia binti huyu anaroho mbaya hata mwanangu tu hajawahi kumbeba ataanza aje kwa mfano kumbeba wakati hujamuweka vizuri hebu muweke smart uone kama hajagombaniwa

Naelewa kuwa kuna haki ya mwanamke kwenye ndoa ila usisahau kumridhisha mumeo. Badilika kuolewa au kuzaa kusikufanye uwe mchafu utakimbiwa

Soma hii pia ( ishara zinazoonyesha kuwa mwanamke anakupenda)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *