Sanaa

Nabayet (Nabbi): nimeshindwa kumuacha Otile Brown

Nabayet ambaye ni mchumba wa msanii Otile Brown aliwahi kukosana na wazazi wake kwa kukubali kuingia kwa video ya Otile Brown. Mwaka Jana, wawili hawa waliwahi kukosana na Otile Brown akarekodi nyimbo alimuomba Nabbi msamaha.

” Nyimbo ya Otile Brown ya kuniomba msamaha sikuitarajia. Maneno yake yalikuwa mazuri na wakati huu hatukuwa kwenye uhusiano. Nikikaa kwa mda bila kumuongelesha Otile Brown kwani nilitaka mda nifikirie kabla sijafanya maamuzi.”.Alisema Nabayet (Nabbi) huku akiongea na shaffie weru kupitia Instagram.

Otile Brown girlfriend 2020 ( Nabayet)

Nabayet aliongezea kuwa uhusiano wao ulikuwa na changamoto nyingi kwani kila mtu alikuwa mbali na mwenzake. Washawahi kukosana Mara nyingi ila kila wanapokosana hujipata wamerudiana.

“Kuishi mbali na Otile Brown kumekuwa Jambo nzito kwangu. Sikudhania kupenda mtu mwenye ako mbali na wewe kuna changamoto….lakini Kama mapenzi yenu ni ya dhati, basi lolote likifanyika utajikuta unapofanya penzi lako..”

Nabayet Otile brown girlfriend 2020

“Wakati tulikuwa hayuko pamoja, marafiki zangu walikuwa wakiunilizia kila siku kwa Nini tumeachana lakini singeweza kuwaeleza changamoto tunazozipitia…”

Wawili hao walikutana nchini Australia baada ya kuwa wakiongea kwa simu kwa mda wa miezi saba

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *