Video | Nadia Mukami ft. Mejja – Legeza
Nadia Mukami ft. Mejja – Legeza ndio habari ya mjini. Nadia Mukami ameamua kufanya Kazi na Mejja anayejulikana kama king wa collabo.
Legeza imefanyika kwa ustadi sana na kusema kweli huenda ikawafungulia njia wawili hawa. Kumbuka collabo nyingi za Mejja hupata utazamaji mkubwa sana ndani ya youtube.
Ili kuweza kuitazama video ya Nadia Mukami ft. Mejja – Legeza, bonyeza link ifuatayo.