Mziki

Nandy – Party feat. Bill Nass & Mr Eazi

Nandy – Party feat. Bill Nass & Mr Eazi ndio habari ya mjini na kama hujakutana nayo basi utaipata hapa mwangaza news.

Kulikuwa na habari kwamba Nandy na bill mass waliachana ila wanavyofanya kazi pamoja inaonekana kuwa bado wako pamoja. Nandy ni msanii wa kike ambaye ana bidii sana hata kama management yake sio kubwa vile.

Ili kusikiza nyimbo ya Nandy – Party feat. Bill Nass & Mr Eazi, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *