Nandy – Yanga dance video
Nandy – Yanga dance video iko hewani na unaweza ukaitazama ndani ya youtube kwani Ina viuno kama zote.
Nyimbo mpya ya Nandy inaipa sifa timu ya yanga na huenda ikawa nyimbo itakayotumika na timu hii kila wakati watakapokuwa na mechi.
Kwa Mara ya kwanza tazama Nandy – Yanga dance video iliyofanyiwa ndani ya uwanja wa mpira upate burudani ya kukata na shoka
4,793 total views, 1 views today