Video : Nandy – Yuda

Kazi mpya Nandy – Yuda ndio habari ya mjini. Ukiona Nandy amenyamaza basi jua Kuna Kazi Kali iko njiani.

Yuda ni nyimbo inayotesa anga kwa sasa na inaptikana kwenye mitandao kama vile YouTube.

Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Nandy – Yuda hapa mwangaza news

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *