MzikiYoutube videos

Nay Wa Mitego – Acha Niongee Ft Atan | Video

Kama umekuwa ukifuatilia kwenye mitandao basi utakuwa umepatana na Nay Wa Mitego – Acha Niongee Ft Atan. ni nyimbo iliyozua gumzo nchini Tanzania.

Nay wa Mitego amekuwa akitoa nyimbo zenye zinaonekana kuingilia upande wa serikali na ashawahi fungiwa nyimbo kadhaa kwa kutumia maneno yenye hayapendezi.

Kwa nyimbo yake mpya ya acha Niongee anasikika akilalamikia radio kwa kukataa kucheza nyimbo zake akidai wanaogopa kupoteza kazi. Pia analalimikia wasanii wenzake akisema hawampi sapoti.

Ili kuweza kuitazama video ya Nay Wa Mitego – Acha Niongee Ft Atan bonyeza link ifuatayo uweze kuyasikiza maneno yaliyotumika na msanii huyu wa hip-hop.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *