Ngongingo Rayvanny X Baba Levo
Ngongingo Rayvanny X Baba Levo ni video mpya kutoka kwa msanii wa Wasafi kwa jina maarufu kama Rayvanny ama ukipenda Vanny Boy. Amefanya colabo na msanii Baba leo.
Nyimbo hii inaongelea wanawake wanasemekana kuwa na makalio ya ukweli na wenye wanaweka magodoro.
Kuitaza Ngongingo Rayvanny X Baba Levo, fuatilia link ifuatayo kuitazama
Tazama hii pia ( video mpya ya tanasha)
3,758 total views, 1 views today