Youtube videosMziki

Noma – King Kaka ft. Rich Mavoko

Noma – King Kaka ft. Rich Mavoko ndio habari ya mjini. Kumbuka rich Mavoko alikuwa chini ya king Kaka kabla ya ku sign na Wasafi label. Baada ya kufanya Kazi wasafi, kulitokea kutoelewana na rich Mavoko akatoka wasafi.

Kwa sasa rich Mavoko amefanya Kazi na king Kaka kwa Mara ya pili kwani waliwahi kufanya colabo na king kaka. Swali ni je, rich Mavoko amerudi kwa king kaka?. Hilo ni swali ambalo kwa sasa hatuna jibu ila hivi karibuni mambo yatakuwa wazi.

Kwa sasa tazama video ya Noma РKing Kaka ft. Rich Mavoko  hapa mwangaza news kwa Mara ya kwanza ili upate burudani safi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *