MzikiYoutube videos

Nonini X Chege Chigunda -Tanga (Official Video)

Ni muungano mkali wa wasanii wawili, nonini kutoka Kenya na chege chigunda kutoka Tanzania. Nonini X Chege Chigunda -Tanga ndio nyimbo mpya inayotesa anga kwa sasa.

Chege amekuwa kimya kwa mda sana na nafikiri mziki wa kizazi kipya hampi nafasi mwafaka kama ilipokuwa hapo zamani. Kila kukicha mziki unabadilika na wasanii wapya wanazidi kuzaliwa.

Ili kuitazama video ya Nonini X Chege Chigunda -Tanga bonyeza link ifuatayo ili uweze kufurahia mziki mziki kutoka afrika mashariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *