Youtube videosMziki

Nviiri The Storyteller – NIKITA (Official Music Video)

Nviiri The Storyteller – NIKITA ipo hewani. Nviiri ni msanii kutoka Kenya mwenye miondoko sawia na sauti sol. Ni mwandishi mzuri sana na nyimbo zake zinaweza sikizwa na kila umri.

Ashawahi fanya kazi na sauti sol na wasanii wengineo. Ili kuitazama video ya Nviiri The Storyteller – NIKITA, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *