Sanaa

Tamthilia ya Nyanya rukia yazidi kupaa

Nyanya rukia ni tamthilia inayotazamwa zaidi mkoani pwani. Kama wewe ni mpenzi wa vuchekesho Basi hii tamthilia inakufaa zaidi. Nyanya rukia ipo maisha magic na huonyeshwa kila siku ya jumatatu saa moja na nusu.

Fahamu kazungu kutoka mkoani pwani ndiye mshirika mkuu na kusema kweli mshirika huyu ana talanta ya hali ya juu sana. Wakenya wengi hutazama tamthilia hii bila kushahau tamthilia hii iliweza kupata ushindi ndani ya kalasha awards miezi kadhaa iliyopita.

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *