MzikiSanaaYoutube videos

Nyumba Ndogo Zuchu

Nyumba Ndogo Zuchu; Baada ya Sukari sasa zuchu amekuja kivingine kwani saa hii ameamua kufanya mziki tofauti na vile wengi wamemuzoea. Nyumba Ndogo Zuchu ni nyimbo ambayo wengi hawakutegemea kuwa zuchu angefikiria kurekodi nyimbo kama hii.

Ni mziki wa kuchezeka na kusema kweli uswahilini wamepata mziki wa kujivunia. Kwa Mara ya kwanza tazama nyumba Ndogo ya msanii zuchu kwa kubofya hapa chini

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *