MzikiYoutube videos

Oka – Diamond platnumz ft Mbosso

Wawili hawa wakishikana, tarajia kazi kubwa. Oka – Diamond platnumz ft Mbosso ndio mpango mzima na utakubaliana na Mimi ni project kubwa sana.

Mbosso na diamond platnumz waliwahi kufanya Kazi pamoja kwa jina baikoko. Nyimbo hii mpaka wa Leo inazidi kupata usikilizaji mkubwa sana na ndani ya YouTube iko na zaidi ya views 33 million.

Tunategemea hii Kazi mpya ya diamond platnumz na Mbosso pia itaweza kupenya vizuri na kupendwa zaidi. Ili kuweza kuisikiza nyimbo ya Oka – Diamond platnumz ft Mbosso ambayo kwenye Ep ya first of all iko track 9, bonyeza link ifuatayo

Pia unaweza ukasikiza mtasubiri yake diamond na Zuchu hapa 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *