Youtube videosMziki

Otile Brown – That’s Why I Love You

Otile Brown – That’s Why I Love You ndio nyimbo inayotawala mitandao kwa hivi sasa. Ni juzi tu msanii huyu aliachia video ya Jeraha akiwa pamoja na Jovial. Ni mwandishi mkali sana na labda ndio maana nyimbo zake zinapendwa.

Ikija ni nyimbo za mahaba, otile brown ako kiwango Cha juu sana. Ni msanii kutoka nchi ya Kenya na anapendwa sana na jinsia ya kike. Nyimbo zake hupata utazamaji mkubwa ndani ya youtube kwa mda mfupi sana

Ili kuweza kuitazama video ya Otile Brown – That’s Why I Love You, bonyeza link iliyoko hapa chini upate burudani ya kukata na shoka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *