Otile Brown X Harmonize – Woman | Video
Kama utakuwa umechelewa basi jua kwamba otile Brown na Harmonize wameachia kazi mpya. Otile Brown X Harmonize – Woman ndio Kazi yenyewe na ni Kazi kubwa sana.
Inaonekana mwaka wa 2022 umeanza vizuri kwa wawili hao Hii itakuwa ni colabo ya mwaka ndani ya Afrika mashariki. Ili kuitazama Otile Brown X Harmonize – Woman, bonyeza link ifuatayo.