Youtube videosMziki

Otile Brown X Jovial – Jeraha | Video

Baada ya kungoja kwa mda mrefu, video ya Jeraha yake jovial na otile brown kutoka nchini kenya ipo tayari ndani ya youtube. Kumbuka audio iliachiliwa mda mrefu uliopita na walichokuwa wakingojea ni video ya Jeraha.

Wawili hawa huwa wakiachia nyimbo pamoja wanapata mashabiki wengi sana na nafikiri wawili hawa wanafaa kufanya Kazi nyingi pamoja.

Kuitazama video ya Otile Brown X Jovial – Jeraha  bonyeza hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *