Maisha

peter magana kenyatta, maisha yake na penye anaishi

Hata kama ametokea kwa familia inayosifika sana ulimwenguni, peter magana kenyatta ameamua kuishi maisha ya siri. Huwa hapendi kujitokeza hadharani na hupenda kukaa kivyake bila hata kutegemea mali ama jina ya familia yake. peter magana kenyatta ni kakake uhuru kenyata na anaishi britain.

peter magana kenyatta

peter magana kenyatta ni mtoto pekee wa hayati mzee jomo kenyatta aliyemzaa na mke wake wa kutokea britain aliyejulikana kama Edna clarke. Alizaliwa mwaka wa 1944 mwezi wa nane ndani ya hospitali inayojulikana kama worthing hospital huko united kingdom.

peter magana kenyatta

peter magana kenyatta alikuwa mtangazaji wa BBC na baadae kidogo akawa mtayarishaji ama producer ndani ya kituo hicho cha BBC. Miaka miwili baada ya kuzaliwa, hayati Jomo Kenyatta alitokaa britain na akarudi nchini kenya kwa mke wake wa pili kwa jina grace wanjiku. Grace wanjiku alikuwa mtoto wa chief koinange na dadake Mbiyu Koinange.

peter magana kenyatta alikuwa mmoja wa wageni walioalikwa wakati Uhuru Kenyatta alikuwa anachukua uongozi kutoka kwa Mwai kibaki mwaka wa 2013. Pia mwaka wa 2019, peter magana kenyatta aliwahi kuja nchini kwa makumbusho ya babake hayati Mzee jomo Kenyatta.

peter magana kenyatta

Inasemekana hayati Jomo Kenyatta aliwahi kumpa mamlaka Peter magana ila alikaidi na kuamua kurudi united kingdom. Kwa sasa, peter magana ameoa na ako na watoto watatu.

Pia soma hii hapa ( Utajiri wa Raila Odinga)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *