Youtube videosMziki

Professor Jay – Shikilia Ft. Young Lunya & Maua Sama (Official Video)

Professor Jay – Shikilia Ft. Young Lunya & Maua Sama ndio nyimbo mpya iliyoachiwa na watatu hawa. Kama kawaida Kazi ya professor Jay huwa Ina uwezo mkubwa sana.

Maua sama naye amekuwa akifanya vizuri na kwa sasa yumo miongoni mwa wasanii wanaouza mziki zaidi kwenye soko la mziki wa bongo. Young Lunya naye amechangia pakubwa sana kwenye hii collabo na kusema kweli ana uwezo wa kipekee.

Ili kuweza kuitazama video ya Professor Jay – Shikilia Ft. Young Lunya & Maua Sama, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *