InternationalMchipuko

Rais pombe magufuli aaga dunia

Rais wa tanzania almaarufu kama pombe magufuli ameaga dunia jioni ya leo katika hospitali ya jakaya kikwete cardiac institute. Naibu wa rais samia Hassan suluhu ametangaza haya leo.

magufuli is dead

Kulingana na samia Hassan suluhu, kifo Cha rais magufuli kimetokana na ugonjwa wa moyo. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Video

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *