Mchipuko

Ray c ampa ushauri Tanasha Donna aweze kumshtaki mwanaume anayedai ni babake mtoto wake

Ray c ni msanii mkongwe anayetokea Bongo tanazania. Kidogo amekuwa kimya ila leo alionekana kukerwa na jambo flani. Ray c alimpa ushauri Tanasha Donna amfungulie mashtaka mtangazaji mmoja wa radio kwa kudai yeye ndiye babake Naseeb Junior.

Mwanaume huyu amekuwa akitangaza kuwa yeye ndiye babake kamili wa mtoto wa tanasha na sio Diamond Platnumz. Kulingana na Ray C, mwanume huyu anafaa kushtakiwa kwani hana adabu na haheshimu uhusiano wake Tanasha Donna na Diamond Platnumz.

Ray c asema Mwikaju afunguliwe mashtaka

Ray C alisema mwanaume huyu anatafuta kujulikana kwa lazima na kisheria hakuna mtu anayeruhusiwa kutumia maneno ya uongo kwa mwenzake kwa manufaa yake.

“Kuna vitu sisi kama binadamu tunafanya vya kipuuzi sana ila kuna muda mtu inabidi ukue kimawazo na kiakili pia na ni lazima ujue unachokifanya kwa mtu mwengine. This is so wrong in so many levels. Kama baba mwenye familia yake sidhani kama hii kitu inachekesha,”

Nassib Jnr Tanasha Donna

aliendelea kusema

“Kuna watu wanaathirika kisaikologia kabisa sababu ya #cyberbullying Mwijaku haufanyi sawa hata kidogo. Tanasha get a lawyer and sue this b**** a** nigga. This is beyond disrespectful. This has to stop. It’s not funny at all.”

Tanasha alipokea meneno yake Ray C na kumjulisha kuwa mikakati ishawekwa na kwa sasa mwanaume huyu ashafunguliwa mashtaka na lawyer wake Tanasha anafuatilia jambo hili na hivi karibuni Mwijaku atafunguliwa mashtaka

Tanasha Donna

Mwijaku naye alisema Naseeb jnr anafana na yeye na hakuna shaka mtoto ni wake. Chakushangaza ni kwamba, Mwikaji alikataa kupimwa DNA na alipokuwa akihojiwa na Bongo 5 alikuwa na haya ya kusema

“Kwanza nimepewa mwito wa kwenda kupima DNA, lakini nimekataa, kwa sababu vuguvugu lililoko sasa hivi ni kubwa, tayari mtoto wangu amejua ana Kaka yake, mimi akiangalia mtoto wangu kuna kitu utajua huyo ni wangu, pia wazeee Kigoma kuna kitu wamekiona,” he alleged. “Nikisema nipime DNA, Nikisema nipime DNA, hii inchi itaingia machafukoni. Nimeomba ili nchi yangu iendelee kuishi na amani, Dar es Salaam iendelee na amani, nimeomba nisipime DNA.”

Soma hii pia ( Zuchu : Sikuhusika kuachana kwao Tanasha na Diamond)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *