Rayvanny – Baila (Official Video)
Baada ya kuachia Ep hivi majuzi, Rayvanny ameanza kuachia video. Rayvanny – Baila (Official Video) ipo hewani na naweza sema ni Kazi kubwa sana imefanyika hapa.
Ili kuweza kuitazama video ya Rayvanny – Baila bonyeza link ifuatayo ili uweze kupata burudani ya kukata na shoka.