Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Amaboko (Official Music Video)
Baada kungojea kwa mda, Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Amaboko (Official Music Video) imeachiliwa rasmi leo.
Ni kazi kubwa sana na ilivyo desturi, wawili hawa wakifanya kazi pamoja basi fahamu kwamba ni kazi imekaliwa chini kisawasawa.
Kwa sasa kuwa wa kuanza kuitazama video hii mpya ndani ya tovuti yetu, Mwangaza news na usisahau ku subscribe kwa mengi zaidi
Tazama hii pia (video mpya ya bahati na mejja)