Sanaa

Rosa ree na Rayvanny waachia video mpya Sukuma ndinga remix

Hii ni hatua kubwa sana kwa Rosa Ree wakiwa na Rayvanny. Katika wasafi media, huwa ni vigumu kwa wasanii kufanya colabo na wasanii wa nje na Kama Basi wataka kufanya kazi na wao Basi itakugharimu hela ya kisawasawa. Sukuma Ndinga Remix imefanyiwa haki na video take kusema kweli ni Kali.

Rayvanny rosa ree

Wawili hawa wamefanya kazi Safi na kusema kweli Rosa Ree na Rayvanny wanaendana ama tuseme kila mmoja anaelewa mwenzake vizuri sana. Kwa Sasa Sukuma Ndinga Remix Ina trend ndani ya YouTube na imepokelewa vizuri sana.

Rosa Ree Ft Rayvanny - Sukuma Ndinga Remix

Itazame hapa kwa Mara ya kwanza.

 

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *