MzikiYoutube videos

Rayvany Ft. Jux – Lala

Ni moja ya zile ngoma Kali zimeachiliwa hivi karibuni, Rayvany Ft. Jux – Lala iko kwenye mitandao yote ikiwemo youtube ambapo kwa sasa ipo trending.

rayvany jux lala

Katika hiyo ngoma, wasanii hawa wawili wameamua kuwaingilia wapenzi wao wa hapo awali. Jux amesikika akisema siku hivi hana venessa hata ashamblock naye rayvany vilevile akasema pia hayupo tena na baby mama wake fayma.

jux lala ft Rayvany

Hii nyimbo imeachiliwa baada ya rayvany kufungua label yake ya mziki. Kwa Mara ya kwanza, tazama video ya Rayvany Ft. Jux – Lala

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *