Reekado Banks – Ozumba Mbadiwe (Official Video)
Kutoka nchi ya Nigeria kitu kipya kimeachika. Reekado Banks – Ozumba Mbadiwe ndio habari ya mjini na kama unapenda mziki aina ya afro fusion basi hii inakuhusu.
Ili kuitazama video ya Reekado Banks – Ozumba Mbadiwe ili uweze kupata burudani ya kukata na shoka