MzikiSanaaYoutube videos

Rich Mavoko – Ndo Mana

Rich Mavoko – Ndo Mana  ndio nyimbo mpya aliyoachia baada ya kunyamaza kwa mda. Rich Mavoko ni msanii ambaye akinyamaza utatamani tu kusikiza Kazi yake hata kama ni ya zamani.

Msanii huyu alikuwa akifanya Kazi na wasafi Ila sitofahamu ilizuka na kila mtu akaamua kwenda upande wake. Hata kama siku hizi hayuko wasafi tena, rich mavoko bado anatamba.

Ili kuitazama Rich Mavoko – Ndo Mana  video, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *