Youtube videosMziki

Ril Vin X Billnass – Tit For Tat Remix (Official Music Video)

Baada ya kunyamaza kwa mda mrefu, billnass ameachia nyimbo ambayo ni kolabo na Ril vin. Ril Vin X Billnass – Tit For Tat Remix ni nyimbo iliyokuweko na kilichomfanyika hama ni kuchanganywa upya ama ukipenda remix.

Kulikuwa na fununu kwamba Billnass walikuwa wameacha na Nandy ila mbo yanavyokwenda ni kama bado wawili hawa wako pamoja. Nandy Leo amweza ku share nyimbo mpya ya Billnass na Ril vin kwenye page yake ya youtube.

Ili kuweza kuitazama Ril Vin X Billnass – Tit For Tat Remix bonyeza hapa chini

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *