AfyaMchipuko

Serikali yatoa taarifa kuhusiana na kesi ya Corona virus katika hospitali kuu ya Kenyatta

Taarifa iliyosambaa kuhusiana na na kesi ya homa ya coronavirus ndani ya hospitali ya Kenyatta imepingwa vikali na serikali.

Serikali imetangaza kuwa hakuna hata kesi moja kuhusiana na hii homa Kali imeweza kupatikana. Wote waliokuwa wakishukiwa kuwa na hii homa waliweza kupimwa wakapatikana wako sawa na kuruhisiwa kwenda nyumbani.

Coronavirus imekuwa tishio kubwa ulimwengu mzima na imeua watu wengi sanasana nchini china ilipoanza. Nchi nyingi ikiwemo Kenya zimesitisha usafiri wa kutoka ama kuingia Kenya.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *