Sanaa

Sho Madjozi apata tunzo la Nickelodeon

Sho Madjozi ni msanii anayetokea nchini afrika kusini. Hakuanza mziki zamani sana Ila amejulikana kwa mda mfupi sana. Nyimbo yake aliyomtaja John Cena ndio iliompa umaarufu zaidi.

Sho Madjozi ameshinda tunzo ambayo hudhaminiwa zaidi dunia nzima na bila shaka itamueka kwenye nafasi nzuri katika ramani ya mziki. Mwanamziki huyo amewashukuru sana waliochangia ushindi wake sanasana watoto huku akiongezea kusema bila watoto hangeweza kuwa mshindi wa Nickelodeon’s kid’s choice awards 2020 (KCA).

Watoto wakisema wanamtaka mtu flani huwezi ukawapinga na walisema wanamtaka Sho Madjozi ndio maana nashukuru timu yote ya Nickelodeon kwa kuona nafaa.

Sho Madjozi

Wenzake Waliokuwa wanapigania tunzo hizo ni pamoja Shekhinah, Teni na Patricia Kihoro kwenye kikundi Cha wasanii wanaopendwa zaidi Africa.

Soma hii pia ( colabo mpya ya rayvann)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *