Mziki

Sina Nyota – Mbosso | Nyimbo mpya

Sina Nyota – Mbosso | Nyimbo mpya ilioachiliwa leo. Kumbuka Mbosso na wasanii wenzake wa Wasafi wamekuwa kimya ila kwa Sasa inaonekana wameanza kuachia kazi.

Mbosso ako vizuri kwa swala nzima la nyimbo za mapenzi na anajua sana kuandika nyimbo za mahaba. Sina Nyota ni nyimbo inaongelea mwanadada anayemtaka ila Hana bahati ndio maana nyimbo yake ikapewa jina ” Sina Nyota”

Sina Nyota - Mbosso | Nyimbo mpya

 

Kwa Mara ya kwanza, tazama video ya Sina Nyota – Mbosso | Nyimbo mpya kutoka wasafi iliooachiwa leo

Soma hii pia (top 10 ya watu matajiri Tanzania)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *